Sources
- Citizen TV Kenya
Hatma ya Gavana wa Kericho Spika Kingi aitisha kikao maalum kujadili hatma yake Kikao dhidi ya Gavana Mutai kusikizwa na bunge zima Eric Mutai alibanduliwa kwa mara ya pili Kericho #CitizenNipashe https://t.co/8gs0WoiPXH
- NTV Kenya
Gavana Mutai Hafai, Tena? Maseneta wote watasikiliza na kuamua malalamishi dhidi ya gavana wa Kericho, Eric Mutai, aliyebanduliwa na madiwani wiki iliyopita. Spika Amason Kingi ameratibu vikao vya kuamua hatma ya Mutai juma lijalo. #NTVJioni @swakesho_ @labaanshabaan https://t.co/j6Y6tUpEbf
- Daily Nation
Mutai ouster: Kericho governor faces full Senate trial after special committee bid flops https://t.co/nwCooia4bR